Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
Wakolosai 1:9-10
9. Kwa sababu hiyo sisi nasi, tangu siku ile tuliposikia, hatuachi kufanya maombi na dua kwa ajili yenu, ili mjazwe maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote na ufahamu wa Roho.
:-Hekima na ufahamu utoka kwa Roho Mtakatifu, kwa hivyo katika kutembea kwetu na Kristo, lazima tujazwe kwa Roho Mtakatifu.
10. Mwenende kama ulivyo wajibu wenu kwa bwana, mkimpendeza kabisa; mkiszaa matunda kwa kila kazi njema, na kuzidi katika maarifa ya Mungu.
:-Hatuwesi kutembea na Bwana kama hatumpendezi, lazima tumpendeze Bwana kwa kuzaa matunda itupasavyo kama watu walio okoka. " Matunda ya haki, matunda ya uvumilivu, na kazi yote yaliyo mema.
Katika kitabu hiki cha wakolosai, Paulo anasema kwamba, atuachi kufanya maombi kwa ajili yenu ili mjazwe maarifa. Hili neno maarifa kwa tafziri la wagiriki, ina maana mbili; Kuna aina ya maarifa ambayo mtu husoma, kuona ama kusikia kuhusu.
:-Katika haya ya 10.maandiko ya zungumzia kuhusu kumpendeza bwana, ilikutembea katika njia ipendezayo Bwana, inatupaza kuimiliki huo marifa na tuombe Roho wa Bwana atupatie ufahamu wa mambo yote to tunayo agizwa na Bwana kuyatenda.
Wagalatia 5:22-23
22. Lakini tunda la Roho ni Upendo, furaha, amani, Ufumilivo,utu wema, fadhili, uaminifu.
23. Upole, kiasi, juu ya mambo kama hayo, hakuna seria,
2 Timotheo 3:16
16.Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundiaha, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza na kwa kuaadibisha katika haki.
MUNGU AKUBARIKI, NA UENDELE KUTEMBEA NA KRISTO YESU.