We are so glad to hear that you are contemplating giving your life to the Lord! We understand how big a decision it is, and therefore want to help you in any way that we can. Please use the buttons below to let us know what we can do to partner with you in your decision to accept Jesus into your life.
Kama unge penda, unaweza kuomba ombi hili kwa ufupi:
Mwenyezi Mungu, nakushukuru kwa kunipenda. Nimetambua ya kwamba nimeishi bila wewe mpaka leo. Naomba msahama kwa sababu hiyo. Yesu Kristo, asante kwa kunisamehe maana nime enenda kwa njia zangu na kwa dhambi zangu zote na kwamba ulikufa kwa ajili yangu na ukafufuka kutoka kwa waafu. Nataka niweke imani yangu kwako, na ninakuomba: Njoo maishani mwangu. Uwe Bwana na Mwokozi wangu. Wacha niuone upendo wako na mipago yako mema kwa maisha yangu. Sasa nimekuwa mwana wa Mungu. Nakushukuru Bwana wangu, na ni katika jina la Yesu Kristo nimeomba na kuamini, Amen.
Niliomba kumpokea Yesu.
.napenda kupokea udhamini wa Kikristo Tujulishe unatafuta nini, na tutarudi kwako haraka iwezekanavyo