Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
TOBA yamaniza nini?
Ni kuacha matendo maovu, na kuanza Laurence matendo ya haki.
<> Dhambi ni chukizo kwake Mwenyezi Mungu, kwa hivyo ukiwa bado ungali dhambini, Mungu hawezi kusikia kilio chako kuyajibu maombi yako. Kwahivyo ukihitaji uhuziano mema na Mungu, lazima utubu dhambi zako.
biblia inasema, katika kitabu cha ISAYA 59:1; Tazama, mkono wa Bwana haukupunguka, hata husiweze kuskia,wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia. Lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu,na dhambi zenu zimeuficha uso wake musiuone, hata hataki kusikia.
Na pia biblia inasema kwa kitabu cha WARUMI 3:23; Kwa sababu wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.
MATENDO YA MITUME 17:30; Basi zamani zile za ujinga, Mungua alijifanya kama hazioni; Bali sasa anaawagiza watu wote wa kila mahali watubu.
Hili ni agizo lake Mwenyezi Mungu, yakwamba lazima kila mtu akaweze kutubu dhambi na kuanza kufanya mapenzi yake Mwenyezi Mungu.