Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
Je, wajuwa ya kwamba unapo pokea Injili na kuamini kwake Kristo Yesu, unafanyika kuwa muumini katika Christo na kupata nafasi nyingi ya faida ambayo yatokana na uhusiano mpia kati yako na Christo. Haya nafasi ya faida ndiyo jinzi Mungu anatasama Muumini katika Yesu Kristo. (1 Wakorintho 15:1-4)
Tunayo ukombozi kupitia damu ya Kristo Yesu, msamaha wa dhambi zetu kulingana na utajiri wa neema ya Mungu tuliyo mwagiwa. (Waefeso 1:7-8)
Tuna pokea uridhi iliyopangwa tangu awali kulingana na kusudi lake Kristo ambaye ametubadilisha katika mfano wake Kristo. (Warumi 8:29, Waefeso 1:11, Petro 1:3-5)
Tume Thibitika na kutakaswa katika Kristo Yesu. (Warumi 5:1, 8:30; Wagalatia 2:16; Tito 3:7; Matendo ya mitume 20:32,26:18; 1 Wakorintho 1:2,30, 6:11; Waebrania 10:10,14)
Tumetiwa muhuri katika Kristo na Roho Mtakatifu tulipo amini injili. (Waefeso 1:13-14, 4:30)
Tumefanyika kiumbe kipya ndani ya Kristo. (2 Wakorintho 5:17)
Mungu ametuinua juu na kutuketihsa na Kristo Yesu mahali pa Mbinguni. (Waefeso 2:4-6)
Kwahivyo, ni mapenzi yake Mwenyezi Mungu ya kwamba kutembea kwetu na Kristo ipate kuonyesha mfano wa faida ambayo kila muumini hupokea baada ya kuamini kwa injili. (1Wakorintho 15:1-4)
Na kama ujampokea Kristo Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako, tafadhali mtafute Bwana Yesu maadamu kungaliko mda wa kumpata.