Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
WARUMI 6:1-13
Katika kitabu cha Warumi 6:1-13, maandiko yasema kwenye haya ya kwanza na ya pili; Tuseme nini basi, tudumu katika dhambi ili neema oxidized kuwa nyingine?, Hasha sisi tullioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?
Hii inamana ya kwamba, hatufai kudumu katika dhambi kwa sababu ya neema nyingi, bali inatupasha kutubu dhambi zetu na kuishi maisha maisha.
Katika kitabu cha 2Wakorintho 5- 17 ; Hata imekuwa mtu akiwa nani ya Christo, amekuwa kiumbe kipya. Ya kale yamepita tazama yamekuwa Maya.
Wakolosai 2:12 inasema; ya kwamba tumezikwa na Kristo katika ubatizo na tukafufuliwa pamoja naye. Lazima tuyazike mambo yotee inayo tusukuma kwenye dhambi na tufufuliwe pamoja naye katika utakatifu.
Katika kitabu cha Wagalatia 2:20 inasema; Nimesulubiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai; wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu
Kama hauja tubu dhambi zako, tafadhali mpokee Yesu kuwa bwana na Mwokozi wa maisha yako. Na utakuwa kiumbe kipya.