Cheza redio Katika kicheza sinema
Au
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote; Mtumikieni Bwana kwa furaha; njoni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:1-2
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana, nchi tote. Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake, Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Zaburi 96:1-2