Eek Bwana, moyo wangu u thabiti, nitaimba, nitaimba zaburi, name,kwa utukufu wangu. Make, kinanda na kinubi, nitaamka alfajiri. Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, nitakuimbia zaburi kati ya mataifa. Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni, na uaminifu wako hata mawinguni. Zaburi 108:1-4
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Name, vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu. Eek nafsi yangu, umhimidi Bwana, wala usizisahau fadhili zake zote. Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote. Aukomboa uhai wako na kaburi, akutia taji ya fadhili na rehema. Zaburi 103:1-4