Ndugu na dada yangu, Mungu anakuitaji jinzi ulivyo, hata kama wewe ni mkorofi, njoo kwa Yesu jinzi ulivyo, hata kama wewe ni kahaba, njoo kwa Yesu jinzi ulivyo.
Sisi zote tuliyo mpokea Kristo Yesu na kufanywa kuwa wana wa Mungu (Yohana 1:12), tulipewa nafasi katika ufalme wa Mungu na kuwa warithi pamoja na KRISTO YESU.
Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, bayana ya mambo yasiyo onekakana. Ni vyiema kuwa na imani, lakini ni muhimu pia kuifuatilia kwa matendo. kwa mfano ukiwa unatafuta kazi, unakuwa na imani ya kwamba utapata huo kazi, alafu unachukua hatua ya kwenda kuangalia huo kazi.